Compositor: Não Disponível
Ayoo ayoo ayoo ayoo
Karibu mgeni, Kwaheri mwenyeji
Tulipanga mengi sana aah
Tulikula dagaa
Tulipika kwa mkaa
Na maisha yalisonga
Niliweka visenti kwenye vibubu
Ukunipa vurugu
Nilitumia vibatari sikutumiaga luku
Asante sana rafiki, Mungu akubariki
Kwa kunilinda na dhiki
Haa
So wave and clap and dance together
So wave and clap and dance together
Tulikula maindi, leo nipe chips
Sitaki kikubwa kidogo nifaidi
(Yelele yelele yelele yelele)
Ulinipa dhiki, ukinifariji
Mwakani utanipa kikubwa zaidi ya hiki
Hanhaa dunia tambara
Nimebeba mazuri na Machafu mengi
Hanhaa hukuona hasara
Kuchukua wazuri wangu wengii hii
So wave and clap and dance together
So wave and clap and dance together
Ulinifundisha mazuri, nisiwe jeuri nipambane
Ulinipaga na mwamvuli
Kwenye mvua nyingi, nisiloane
Mwamvuli eeh
So wave and clap and dance together
So wave and clap and dance together
Ayoo ayoo ayoo ayoo
Ayoo ayoo ayoo ayoo